Wanafunzi wakifanya zoezi katika swimming pool
kwa maandalizi ya mashindano.
Mwanafunzi akisikiliza maelekezo kutoka kwa
mwalimu
Mmoja wa wanafunzi akiogelea Freestyle
Mwalimu akielekeza namna ya kuanza "kudive" katika
swimming pool
Wanafunzi wakifundishwa sheria za maji na kuogelea
Mmoja wa wanafunzi akiogelea style ya Breaststroke
Mwanafunzi akiogelea Butterfly
Mwanafunzi akiogelea Freestyle
Mmoja wa makocha wa Tanzania Marine
Swimming Club
Mr. Kimwaga
Kocha wa Tanzania Marine Swimming
Club
Mr. Kimimba