Club Profile

 INTRODUCTION:

Tanzania Marine Swimming Club - was established on March 2nd 2008 with indigenous Tanzania members and later on got its official full registration from the Registrar of sports, Clubs and culture from the Ministry of sports and culture with registration No. NSC. 9561. 

The club headquarters are located at Kigamboni, Temeke District in Dar es Salaam Region.

The club was established with the aim of identifying and developing young Tanzania swimmer talents, developing and setting foundation for swimming in Tanzania at no cost as many could not afford to pay for training and as well the nation has been lacking professional swimmers as well as representative in various national and international competitions.

Also the club aim at establishing swimming academies all across Tanzania to extend the opportunity to the majority poor as well as ensuring that all interested kids as well as the talented are well trained as well as nurturing their talents to excel in the swimming field.

The club also provides training to special groups eg women, and community as whole to be able to equip themselves with skills that can help and save their lives especial for those living near the sea, those obliged to frequently cross rivers, Sea, and lakes or living in endangered areas where flood and other water related calamities can highly affect their lives.
Also the club provides training to groups and individuals from the age of 4 yrs to 90 yrs at special arrangements.

CLUB LOCATION:
The club is currently located and operating from Kigamboni area (at Navy beach and Mwalimu Nyerere Academy areas) providing training's on the beach while making efforts to get a permanent place where the club can have water sports recreational centre to save kids, disable/special groups and the general public. (Training to groups and individuals from the age of 4 yrs to 90 yrs at special arrangements.

VISION:
To become the best centre of excellence in swimming training's for clubs, schools, colleges and the community as large for national benefit.
MISSION:
1.     Searching and developing talents in the swimming field.
2.     To provide an opportunity to Tanzanians to participate in water related sports and benefit from the abundant water resources that the country have.
3.     To protect and preserve environment, water sources and other water resources.
4.     To build capacity to Tanzanian citizens to be able to employ and be employed in the water and water sports sector.
5.      To promote Tanzanian culture Worldwide through swimming and water sports.
6.     To build national unity through swimming and water sports.

TRAINING'S PROVIDED.
  • Water Surface Rules
  • Swimming
  • Survival at Sea skills
  • Rescue and Resuscitation
  • Water Drowning and Prevention
  • River Crossing
  • Training in swimming and rescue. 
  • Survival at Sea skills
  • First aid 
  • And more as per individual or group requirement.

  • TRAINERS:

TMSC has qualified professional trainers  recognzed by FINA.

  • LANGUAGE:

Training languages are both Kiswahili and English.

  • ACHIEVEMENTS:

The club has succeeded to train more than 500 youths, and more than 800 adults


  • Best coach of the year 2011
  • Best male swimmer of the year 2011
  • Best female swimmer of the year 2011

  • National buterfly record breaker for the year 2011

  • 3rd position for club championship for the years 2012, 2013,2014 & 2015

  • TMSC participated in FEASSA competions (FEDERATION EAST AFRICA SWIMMING ASSOCIATION) where TMSC got third position.

  • TMSC participated in Junior Olympic games 2014 in QATAR.

  • The club has also succeeded in training more than 1300 people on swimming and water rescue.

    FOLLOWING THE SUCCESS THAT TANZANIA MARINE SWIMMING CLUB HAS ACHIEVED IN THE TWO YEARS SINCE ITS ESTABLISHMENT AND LATER REGISTRATION AS A FULLY FLEDGED SWIMMING CLUB OPERATING ACROSS TANZANIA SUCH AS IDENTIFYING AND DEVELOPING YOUTH TALENTS IN SWIMMING AND WATER SPORTS OF WHICH THE CLUB NOW HAS GAIN INTERNATIONAL RECOGNITION FOLLOWING PARTICIPATION AND WINNING VARIOUS COMPETITIONS INCLUDING THE RECENT REGIONAL SWIMMING CHAMPIONSHIP HELD AT KAMPALA UGANDA.

    THE CLUB GOT 8 GOLD MEDAL, 5 BRONZE AND 7 SILVER FROM ITS 5 PARTICIPANTS WHOM THE CLUB COULD AFFORD TO SEND DUE TO FINANCIAL DIFFICULTIES. OTHER COMPETITIONS SUCH AS NATIONAL SWIMMING CHAMPIONSHIP WHERE THE CLUB DID WELL.

    KISWAHILI VERSION:


    TANZANIA MARINE SWIMMING CLUB (TMSC)
                
          UTANGULIZI

    Tanzania Marine Swimming Club ilianzishwa  tarehe 02.03.2008 na wanachama watanzania. Ilisajiliwa tarehe 05.08.2010 kwa cheti cha usajili  namba NSC 9561 TRH. Makao makuu ya klabu yako Kigamboni, wilaya ya Temeke Mkoani Dar es Salaam Tanzania.
    Pamoja na madhumuni mengine, uongozi wa klabu  una malengo ya kuendesha shule  na vyuo vya kuogelea. Kwa sasa inajihusisha na kujikita zaidi  katika kutafuta vipaji vya kuogelea kwa watoto wa kitanzania na kujitolea kutoa  mafunzo maalumu kwa vikundi namna ya kuogelea na kuwapa uelewa juu ya ajali za majini.
    Pia inatoa mafunzo kwa mtu mmoja mmoja kwa umri wowote na wa jinsi yoyote.
    MAHALI KLABU ILIPO:

    Kwa sasa klabu ipo Kigamboni na inatumia fukwe za chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere/Navy Beach wakati juhudi zikiendelea kutafuta sehemu ya kudumu kwa ajili ya makao makuu ya klabu na sehemu ya kufanyia mafunzo.


    DIRA:
    Kuwa klabu/shule na vyuo vya mfano bora vinavyokidhi matakwa ya jamii kwa manufaa ya taifa.

    DHIMA:

    1. Kutafuta vipaji katika mchezo wa kuogelea na kuviendeleza.
        
    2. Kuwapatia fursa wananchi wa Tanzania kushiriki katika michezo ya                                 majini na kunufaika na rasilimali ambayo mwenyezi Mungu ametujalia.

    3. Kutunza na kuhifadhi mazingira na vyanzo vya maji.

    4. Kuwajengea uwezo wananchi wa Tanzania wa kujiajiri na kuajiriwa kupitia sekta ya     maji.

    5. Kuenzi na kudumisha mila za Taifa letu kupitia mchezo wa kuogelea.

    6. Kujenga umoja na mshikamano wa kitaifa kupitia mchezo wa kuogelea.

    MAMBO YANAYOFUNDISHWA.

    i). Kanuni za usalama katika maji

    ii). Kuogelea kimashindano

    iii). Kuogelea kwa kawaida

    iv). Uokoaji

    v). Huduma ya kwanza kwa mtu aliyeokolewa kwenye maji/aliyepata ajali majini

    vi). Matumizi ya vifaa mbalimbali vya kujiokolea na kuogelea majini

    vii). Jinsi ya kusubiri msaada majini

    viii). Jinsi yakutunza  mazingira ya maji na vyanzo vya maji.

    ix). Madhara unayowezakupata wakati unasubiri msaada majini

    x). Mbinu za kuvuka mito na vyanzo vingine vya maji

    WAALIMU:
    Klabu ina waalimu wenye sifa zinazotambulika kitaifa na kimataifa, waadilifu na wanaojituma katika kutoa mafunzo bora ili kuwajengea uwezo wa  kushindana/kuogelea mahali popote ulimwenguni.

    LUGHA:
    Lugha yakufundishia ni Kiswahili na Kiingereza

    MAFANIKIO:
    Hadi sasa klabu  imefanikiwa kufundisha watoto zaidi ya mia tano (500), watu wazima zaidi ya mia nane (800). Mafanikio mengine nikutoa kocha bora kitaifa kwa mwaka 2011, kutoa mchezaji bora wakike na wakiume kitaifa kwa mwaka 2011, kutoa mchezaji aliyevunja rekodi ya taifa ya style ya Butterfly. Klabu kushika nafasi ya tatu (3) katika mashindano ya Tanzania Bara na Visiwani kwa mwaka 2012 & 2013
    Vilevile 2014 na 2015 katika mashindano ya Feassa  wachezaji kutoka TMSC walishiriki michezo hiyo na kuiwakirisha vizuri Tanzania.
    2014 mchezaji kutoka TMSC aliiwakilisha Tanzania katika michezo ya junior Olympic huko Quarter.  
    Club imefanikisha kutoa mafunzo ya kujiokoa na kuogelea kwa zaidi ya watu 1300 rika zote na jinsi zote wakubwa kwa watoto. 

    No comments:

    Post a Comment

    Popular Posts